• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • March 8, 2024
  • News

Wanachama wa TPAWU kwenye kongamano la Wanawake TUCTA

Watumishi na wanachama wanawake wa TPAWU wameshiriki katika kongamano la siku ya wanawake duniani, kongamano liloandaliwa na TUCTA lenye kauli mbiu – “Wekeza kwa Wanawake kuharakisha maendeleo ya Taifa na Ustawi Wa Jamii”

Leave A Comment