• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • March 6, 2024
  • News

Heri Siku ya Wanawake Duniani

Katibu Mkuu TPAWU ndugu John Vahaye anawatakia Wafanyakazi na Wanachama wote heri ya siku ya wanawake duniani march 8.

Tuendelee kusimamia usawa wa kijinsia katika sekta ya Kilimo kwa kuweka mikakati Bora.

Leave A Comment