• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • January 31, 2024
  • News

Kikao cha Madai SHIRECU

Katibu SehemuTPAWU Shinyanga akiwa kwenye kikao cha pamoja na wafanyakazi kwenye tawi la SHIRECU lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili juu ya madai ya wafanyakazi waliohamishwa kutoka SHIRECU kwenda SIMCU, jumla ya madai yao ni Shs. millioni 152, TPAWU na Mwajiri tumekubaliana kuwa ifikapo mwezi wa 4 Mwajiri atawalipa Wafanyakazi nusu ya madai hayo.

Leave A Comment