• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • January 26, 2024
  • News

Mwenyekiti TPAWU akikabidhi gari kanda ya Iringa

Mwenyekiti wa TPAWU Taifa ndg Fred Akondowe kushoto akimkabidhi gari Mwenyekiti wa Kanda ya Iringa Ndg Steve Chengula alievaa kofia kushoto kwa mwenyekiti wa Kanda ni katibu wa Kanda ya Iringa Ndg John Adrian. Makabidhiano hayo yamefanyika ofisi ya Kanda Iringa

Leave A Comment