• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • January 24, 2024
  • News

Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimataifa

Picha ya pamoja ya Viongozi – Wanachama wa International Union of Food, Agriculture, industry, Hotels…(IUF) na Menejimenti ya Lipton Teas & Infusion baada ya kushuhudia utiaji sahihi wa makubaliano ya mashirikiano ya kimataifa Jijini Rotterdam nchini Uholanzi tarehe 24/01/2024, kikao hicho kilihudhuriwa na Ndugu John Vahaye Kaimu Katibu Mkuu TPAWU.

Leave A Comment