• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • June 27, 2023
  • News

Tawi la TPAWU Bodi ya Pamba Mwanza

Tawi la TPAWU Bodi ya Pamba Mwanza wafanya kikao cha Halmashauri Kuu, Masuala yaliyojadiliwa ni pamoja na maslahi kwa wafanyakazi kupitia Mkataba wa Hali Bora, pamoja na kuanzisha jukwaa la michezo la wafanyakazi wa Bodi ya Pamba Tanzania.

Leave A Comment