• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • Karatu

Promoting Decent Work for Women in the Horticultural Farms”. 2018 – 2020

TPAWU chini ya ufadhili wa Humanist Institute for Co-operation with Developing Countries (HIVOS) ilitekeleza Mradi huu katika Kanda ya Kilimanjaro na Arusha, shughuli zilizofanywa ni pamoja na Ufundishaji wa wanawake wanaoingia katika Majadiliano ya CBAs, Ufundishaji wa wakufunzi, Wakufunzi waliofundishwa kufundisha wafanyakazi mashambani, Afya na Usalama Kazini, umuhimu wa kujiunga na TPAWU na Majadiliano ya pamoja.

Lengo la mradi ni ustawishaji wa kazi zenye staha.

Mradi pia uliangalia namna ya uboreshaji kazi za TPAWU kwa shughuli ya uandaaji wa mpango mkakati wa TPAWU na namna ya utekelezaji wake katika kufikia kazi zenye staha kwa wanachama.

funded by HIVOS