• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • Tanzania

IUF Cut Flower Project Funded by International Union of Food, Agricultural, Hotel, Restaurant, Tobacco Processing (IUF) 2020- 2023

TPAWU chini ya ufadhili wa International Union of Food, Agricultural, Hotel, Restaurant, Tobacco Processing (IUF) ilitekeleza mradi huu kwa Kanda ya Arusha na Kilimanjaro, Mradi ulihusu elimu juu ya namna bora ya ufungaji wa mikataba ya hali bora za kazi, elimu ya kupinga unyanyasaji wa kijinsia mahali pa kazi na elimu ya afya na usalama kazini.