• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • Iringa

IUF African Women Project – International Union of Food, Agricultural, Hotel, Restaurant, Tobacco Processing (IUF) “IUF Africa Women’s Project”

Mradi wa Wanawake wa vyama vitatu vinavyojishirikisha na International Union of Food, Agricultural, Hotel, Restaurant, Tobacco Processing (IUF) “IUF Africa Women’s Project”

TPAWU kwa kishirikiana na TUICO na CHODAWU ilitekeleza mradi huu katika Kanda ya Morogoro Sehemu ya Dar/Pwani, shughuli zilizofanyika ni Kampeni ya kushinikiza Serikali kuridhia Mkataba wa shirika la kazi Duniani (ILO Convention 190), Kampeni ya kupinga ukandamizaji wa wanawake siku ya wanawake duniani 8 March 2021 na semina iliyofanyika Dar es salaam – matawi yaliyohusika katika Mradi huu ni pamoja na Alavi Estate, Wakala wa Chai, Bodi ya Chai Tanzania, 21st Century Holding Ltd na Interchick.

Funded by IUF 2010 – 2025