• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • Dar es salaam

Decent Work and Labour Right Project – 2019 – 2020

TPAWU Chini ya ufadhili wa Forum for International Cooperation (FIC) ilitekeleza mradi huu kwa utoaji wa mafunzo kwa wanachama wa Kanda ya Mbeya, Iringa, Tanga na Morogoro, shughuli zilizofanywa ni pamoja na ufundishaji wa wakufunzi katika mada za Sheria za Kazi, Hifadhi ya Jamiii, Utatuzi wa migogoro mahali pa kazi, ufungaji wa mikataba ya hali bora za kazi, umuhimu wa kujiunga na TPAWU.

Lengo la mradi ni Kazi zenye staha kwa wafanyakazi na haki za wafanyakazi.

Funded by Forum for International Cooperation (FIC)