• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160

Decent and Sustainable Livelihood for Worker in the Horticultural Farms

Mradi wa Kazi staha kwa wafanyakazi katika Mashamba ya Maua, Mbogamboga na Matunda ( Decent and sustainable Livelihood for Horticultural Workers Project) 2022 – 2023

TPAWU Chini ya ufadhili wa Forum for International Cooperation (FIC) inatekeleza mradi huu katika Kanda ya Kilimanjaro na Arusha.

Lengo la mradi ni kuhakikisha wafanyakazi wananufaika na ajira zao kwa kuwa na ajira zenye staha, mradi huu utajihusiha na ufungaji wa mikataba ya hali bora za kazi, utoaji elimu juu ya haki za kiajira, elimu ya haki za wafanyakazi wanawake, afya na usalama kazi na hifadhi ya jamii.

Funded by FIC 2022 – 2023