• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • Tanzania

Advocacy against precarious employment and non standard forms of employment

TPAWU Chini ya ufadhili wa Forum for International Cooperation (FIC) ilitekeleza mradi huu kwa ushawishi kitaifa wa upingaji kazi zisizo za staha kwa wafanyakazi hasa wa kwenye sekta isiyo rasmi.

Lengo la mradi ni kupinga kazi hatarishi/ kazi zisizo za staha kwa kuwahimiza wadau wakiwemo Serikali, Waajiri na Makampuni ya ajira kuhakikisha kuwa wafanyakazi waliopo katika sekta isiyo rasmi wanapata haki sawa kama wafanyakazi wa sekta rasmi.

Project Funded by FIC 2021