• Lumumba / Ungoni Street, Ilala District - Dar es salaam
  • +255 755 636456 / +255 754 606160
  • October 23, 2025
  • News

WARSHA YA PAMOJA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI UAJIRI,URATIBU NA UDUMISHAJI WA WANACHAMA

Warsha ya pamoja ya vyama vya Wafanyakazi TPAWU, TAMICO NA TUICO kuhusu Uhamasishaji na Ujenzi wa uwezo wa uratibu wa Wanachama.

Warsha(Mkutano wa Mafunzo) inayolenga kuimarisha uwezo wa vyama vya wafanyakazi katika:

-Kuandaa na kuhamasisha wanachama (Organizing and Mobilization),

-Kujenga uwezo wa uongozi na ushirikiano kati ya vyama (Capacity development),

-Kufanya kazi kwa pamoja katika ngazi ya muungano au ushirikiano wa vyama (Joint Union Level).

Mafunzo hayo yametolewa na Mkufunzi Ndugu Joseph Mwinula katika hotel ya Nefaland iliyopo Manzese Argentina.

Leave A Comment