Mwenyekiti wa Kanda ndg Steve Chengula akifungua semina ya Sheria za kazi kwa wenyeviti wa kamati za wanawake Mufindi na Iringa, Elimu hii itawajengea uwezo wa kutatua changamoto za wafanyakazi katika maeneo ya kazi.