TPAWU chini ya ufadhili wa Women Win (Free Grow Fund) imefanya mafunzo kwa Viongozi wa Kamati za Wanawake (Mwenyekiti/Katibu) wa Kanda ya Tanga, Mafunzo yalikua juu ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Usawa wa kijinsia na Bughudha za Kijinsia Mahali pa Kazi