{"id":3047,"date":"2026-11-02T07:46:03","date_gmt":"2026-11-02T07:46:03","guid":{"rendered":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/?p=3047"},"modified":"2026-11-02T07:53:23","modified_gmt":"2026-11-02T07:53:23","slug":"tpawu-yafanya-mkutano-mkuu-na-uchaguzi-wa-viongozi","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/2026\/11\/02\/tpawu-yafanya-mkutano-mkuu-na-uchaguzi-wa-viongozi\/","title":{"rendered":"TPAWU Yafanya Mkutano Mkuu na Uchaguzi wa Viongozi"},"content":{"rendered":"<p data-pm-slice=\"1 1 []\">Chama cha Wafanyakazi wa Mashamba na Kilimo Tanzania (TPAWU) kimefanya Mkutano Mkuu ulioambatana na uchaguzi wa viongozi wa Kitaifa, ikiwa ni sehemu muhimu ya kuimarisha demokrasia, uwajibikaji na uongozi bora ndani ya chama. Mkutano huo umefanyika Katika Ukumbi wa Edema Hoteli Morogoro, tarehe 29\/10\/2026.<\/p>\n<p data-pm-slice=\"1 1 []\">Mkutano huo uliwakutanisha wajumbe kutoka maeneo mbalimbali kwa lengo la kujadili maendeleo ya chama, kutathmini mafanikio na changamoto zilizopo, pamoja na kuweka mikakati ya kuendeleza na kulinda haki na maslahi ya wafanyakazi wa sekta ya mashamba na kilimo nchini Tanzania.<\/p>\n<p data-pm-slice=\"1 1 []\">Kupitia uchaguzi huo, wanachama walipata fursa ya kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi watakaosimamia na kuendeleza dhamira ya chama katika kutetea haki za wafanyakazi na kukuza mazingira bora ya kazi.<\/p>\n<p data-pm-slice=\"1 1 []\">TPAWU inaendelea kujizatiti katika kuimarisha umoja, mshikamano na uwakilishi madhubuti kwa wafanyakazi wote.<\/p>\n<p data-pm-slice=\"1 1 []\">Nafasi zilizoshindaniwa na Kuchaguliwa ni<\/p>\n<ol>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Mwenyekiti wa TPAWU Taifa<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Katibu Mkuu<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Mwenyekiti wa Wanawake TPAWU Taifa<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Mwenyekiti wa Vijana TPAWU Taifa<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Wajumbe wa Baraza Kuu TPAWU<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Wajumbe wa Baraza kuu TUCTA<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Wajumbe wa Mkutano Mkuu TUCTA<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Mjumbe mmoja mwakilishi wa wanawake kwenye mkutano wa Shirikisho.<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Wajumbe watakaohudhuria Baraza kuu Wajumbe wake ni Wanawake wote wa Mkutano mkuu<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Wajumbe wa Kamati ya Utendaji(Kuzingatia jinsia)<\/li>\n<li data-pm-slice=\"1 1 []\">Mjumbe Kamati ya utendaji TUCTA<\/li>\n<\/ol>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Chama cha Wafanyakazi wa Mashamba na Kilimo Tanzania (TPAWU) kimefanya Mkutano Mkuu ulioambatana na uchaguzi wa viongozi wa Kitaifa, ikiwa ni sehemu muhimu ya kuimarisha demokrasia, uwajibikaji na uongozi bora ndani ya chama. Mkutano huo umefanyika Katika Ukumbi wa Edema Hoteli Morogoro, tarehe 29\/10\/2026. Mkutano huo uliwakutanisha wajumbe kutoka maeneo mbalimbali kwa lengo la kujadili [&hellip;]<\/p>\n","protected":false},"author":2,"featured_media":3058,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[43,42,50,1],"tags":[],"class_list":["post-3047","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-news","category-publications","category-uncategorized-sw","category-uncategorized"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3047","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/users\/2"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3047"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3047\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":3103,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3047\/revisions\/3103"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media\/3058"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3047"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3047"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/tpawu.or.tz\/en\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3047"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}